WASHIRIKA

20170113NYAKTeam

Nyakwesi Mujaya

Managing director

NGO GUTz Organization (TZ)

Magonjwa, umasikini, marumbano na majanga yameyumbisha mamilioni ya familia ulimwenguni. Virusi vya ukimwi (VVU) ni mojawapo ya magonjwa ambayo yanayumbisha sehemu tofauti tofauti ulimwenguni na Tanzania ikiwemo. Theluthi ya wanawake na nusu ya wanaume hawajawahi kufanya upimaji.

Mapenzi yangu, uvutiwaji na ujasiri ndio vinavyonipa uimara na nguvu kujumuika na Suzanne katika vita dhidi UKIMWI nchini Tanzania. Naamini ya kwamba endapo watu watapata ufahamu wa afya zao, Ulimwengu utasonga mbele kimaendeleo.

20170113SUUSTeam

Suzanne ter Haar

Founder & director

Stichting GUTz Foundation (NL)

Kusema kweli, kwa mara ya kwanza nilipofika Tanzania mwaka 2006, niliipenda sana hii nchi. Mazingira yake na wanyama wanavutia sana ila zaidi ni watu na hatua zao za kimaisha ndio vilinipendeza zaidi. Nguvu ambayo hujitokeza katika umoja wa kufanya mambo, vipaji, ndoto na shughuli za watu ambao nilikutana nao, hii ilinishawishi kuanzisha GUTz na bado inanivutia kila siku!

20170113GIDTeam

Gideon Patrobah Mazara

Marketing Manager

NGO GUTz Organization (TZ)

Niliweza kuifahamu GUTz kwa mara ya kwanza nikiwa kama katibu wa Asasi ya Tanzania Get Together. Katika tamasha la Temeke – mwembe yanga mwaka 2014 niliona nguvu na utayari wa washiriki na nikaamua kusaidia kwa pale nilipoweza. Baada ya tamasha Mutta aliniomba kujiunga na washiriki wa GUTz rasmi. Napenda kufanya kazi za pamoja na mashirika tofauti, na pia tunavyoonana na kuchanganya-bongo na washirika wengine kuhusiana na shughuli zote nzuri ambazo tunaweza zifanya siku za usoni.

20170113JIMMTeam

Jimmy Mathias

Theatre coach

NGO GUTz Organization (TZ)

Tangia nilipojiunga na shirika la MAKINI, Nimejifunza kutumia uzoefu na kipaji changu kufundisha vijana wenzangu wa kitanzania kuhusiana na mambo tofauti yanayotukabili. Nilishiriki katika tamasha la uhamasishaji juu ya virusi vya ukimwi (VVU) kwa mara ya kwanza mwaka 2013 na tangia 2015 nimekuwa nikiombwa kufundisha vikundi vya maigizo katika maeneo tofauti Tanzania kuhusiana na elimu ya sanaa ya maigizo. Nafurahi sana kila ninapoona wanafunzi wangu wanaelewa kwa kasi sana na hata kutumia mafunzo yangu kuweza kuunda yao wenyewe katika Sanaa ya maigizo.

HamzaSepia2

Hamza Omari Mleches

Finance Director

NGO GUTz Organization (TZ)

In the year 2017, I had a phone conversation with Nyakwesi Mujaya, who told me about what she was doing in GUTZ and explaining about the mission and vision of the organization. She inspired me and I came to realize that she was doing great things and when we combine our forces together we can get up and reduce or eradicate the HIV victims globally.

KarenSepia

Karenhapuch Harris Joshua

Administration Officer

NGO GUTz Organization (TZ)

The reason I have joined GUTz in 2017 is because I want to help people and learn more about HIV and all sexually transmitted diseases.  I am inspired to work with GUTz and I believe that together we can fulfill our dreams.

JenifaSepia

Jenifa M. Bwaira

Program Manager

NGO GUTz Organization (TZ)

I have always been interested to work with different companies/NGO’s to see how people work and get different ideas from working together. I believe in the power of co-operation and think that we can achieve most that way. As HIV was one of my main subjects in University, I have seen how people suffer of this virus. By joining GUTz I wish to get more inside in the topic in the field and together see where we can make a difference.

KaieSepia

Katikiro M. Moshi

Field & Research Officer

NGO GUTz Organization (TZ)

Professionally, I am a computer engineer. I have an international diploma in computer engineering from Techno Brain College. My passion on working in sociological matters led me to work with MUHAS, FHI, DAMAX Solutions and Temeke Hospital on several programs pertaining social development in different periods. Therefore, when I met Nyakwesi and she told me about GUTz, I simply thought I could join in order to assist GUTz to accomplish its goals. I believe my experience in social matters will help GUTz to move forward.

20170113WOUTTeam

Wouter Huijser

Secretary

Stichting GUTz Foundation (NL)

Kwa kuonana na kupata kinywaji na rafiki ambaye hatujazoeana ilinionesha ni kwa kiasi gani inaogopesha, ukaribu na kitendaliwili cha virusi vya ukimwi (VVU) kinaweza kuwa kwa watanzania wengi. Hii ilienda moja kwa moja kuonesha ni muhimu kiasi gani kwa kazi ambayo GUTz inafanya. Na inafanya kazi nzuri sana katika hili suala! Ni furaha kuwa mmojawapo wa washiriki na kuona GUTz na washiriki wote wakikua zaidi na vizuri.

 

20170113ELISTeam

Elise Volker

Board member

Stichting GUTz Foundation (NL)

20170113DANNeam

Danny Van Baekel

Board member

VZW Get Up Tanzania – GUTZ (BE)

profile picture kathy

Kathy Quartier

Board member

VZW Get Up Tanzania – GUTZ (BE)

Optimization WordPress Plugins & Solutions by W3 EDGE