SHUGHULI

Get Up Tanzania (GUTz) ina utaratibu mzuri wa kutunza kumbukumbu za matamasha makubwa na madogo kwa Dar es Salaam, Chalinze and Kahama. Kila baada ya tamasha huwa tunatoa taarifa katika kurasa zetu ambapo unaweza kuona idadi ya watu waliopima; mrejesho mfupi wa siku na picha kadhaa. Kwa picha zaidi tafadhali tembelea ukurasa wetu wa Facebook au Instagram. Ikitokea ukawa na maswali kuhusiana na tamasha flani, tafadhali usisite kuwasiliana nasi kupitia barua pepe info@gutz-foundation.org

Optimization WordPress Plugins & Solutions by W3 EDGE