Shirika la GUTz

Shirika la GUTz linahusika na kila kitu kinachohusiana na utambuzi wa shughuli husika.

Shirika hufanya utafiti na kuandika mipangilio ya shughuli na kuwahusisha washirika wa nchini na taasisi za serikali na pia asasi ya GUTz. Asasi hufanya tasmini ya mipangilio ya shughuli zilizoandaliwa na bajeti yake, kuhakikisha umahiri na uimara wake. Kipengele cha kufanya shughuli ziwe imara ni kutafuta washirika, wafadhili na watu wa kujitolea kutoka nchini Tanzania kuwezesha shughuli za shirika.

Preparing the edutainment HIV theatre performance

Kwa ushirikiano wa serikali na mashirika ya tiba, shirika la GUTz huchagua maeneo ambayo shughuli zetu pamoja na uandaaji wetu wa kipekee unahitajika zaidi na kuongeza hadhi. Kwa kufanya utafiti shirika uhakikisha tunafikia makundi hatarishi zaidi katika maeneo yasiyo na mwamko. Tafadhali tafuta taarifa zaidi kuhusu shughuli zetu hapa.

Tanzanian flags on clothes preforming acrobatics

Baada ya uanzishaji wa kila shughuli kuwa umefanyiwa uhakiki na washiriki wa Asasi, taarifa huandaliwa ili kuwasilisha mafanikio kwa washirika na wafadhili waliohusika. Bajeti na taarifa za kifedha za mwaka ni muhimu sana kwa ajili ya kuimarisha ushirikiano wetu wa kimataifa na kuunda muelekeo madhubuti katika kazi za shirika.

jimmy&nya

Nyakwesi Mujaya: Managing Director

Gideon Patrobah Mazara: Financial Director

IMG_0071
Optimization WordPress Plugins & Solutions by W3 EDGE