Asasi ya GUTz

Imeanzishwa mwaka 2014, Asasi ya GUTz inatafuta na kuhifadi fedha zinazohitajika kuwezesha shughuli za GUTz,wakufunzi na mafunzo kwa washirika wa nchini Tanzania.

Kila shughuli mpya inayoanzishwa na shirika la GUtz inahitaji fedha za kuanzia kwa ajili ya kuwezesha shughuli kuanza. Msingi huu wa kifedha unatolewa na asasi ya GUTz kwa ushirikiano wa asasi nyingine kadha wa kadha na wafadhili binafsi haswa kwa Netherlands na Belgium. Siku zote tunatafuta watu ambao wanasaidia shughuli zetu na pia wanataka kutusaidia kuwezesha uanzishaji wa shughuli zetu mpya. Tafadhali fikiria kuwa msaidizi wa GUTz na tembelea ukuraasa wetu wa michango ya hiari.

Fundraising for HIV prevention

Baada ya uanzishwaji wa shughuli kadha wa kadha, Asasi ya GUTz hutoa taarifa za mwaka kuhusiana na shughuli zilizofanyika kwa wafadhili.

Taarifa zetu za hivi karibuni zinapatikana hapa:

Kuhakikisha kuwa uandaaji wa shughuli, utafiti, uwezeshaji wa kifedha na taarifa kutoka katika shirika zinakidhi kiwango cha asasi yetu; sehemu kubwa ya kazi yetu inahusisha mafunzo na semina kwa washirika wetu wa Tanzania katika nyaja tofauti tofauti. Kwa namna hii taarifa zinazotoka Tanzania zinatengeneza msingi mzuri wa mawasiliano kwa wafadhili na washirika wa kimataifa.

Team HIV prevention training

Netherlands

Suzanne ter Haar: Founder & Director

Wouter Huijser: Secretary

Elise Volker: Treasury

Idea picture
Optimization WordPress Plugins & Solutions by W3 EDGE